settings icon
share icon
Swali

Ni Mungu / Bibilia iko kijinsia?

Jibu


Ubaguzi wa kijinsia ni jinsia moja, kwa kawaida kiume, huwa na utawala juu ya jinsia nyingine, kwa kawaida kike. Biblia ina marejeo mengi ya wanawake kwamba, mawazo yetu ya kisasa, itakua ubaguzi dhidi ya wanawake. Lakini tuna kukumbuka kwamba wakati Bibilia inaeleza hatua, haimaanishi kwamba Bibilia anaunga mkono hatua hiyo. Biblia inaeleza wanaume wakiwachukulia wanawake sehamu ndogo zaidi ya mali, lakini hiyo haimaanishia kuwa Mungu anakubali hatua hiyo. Mbali zaidi Bibilia yaangazia kwa umakini juu ya kuleta mageuzi katika nafsi zetu kuliko jamii yetu. Mungu anajua kwamba moyo uliobadilika utasababisha tabia iliyobadilika.

Wakati wa Agano la Kale, karibu kila utamaduni katika dunia nzima ulikuwa wa mfumo wa kiume katika muundo. Hali ya historia iko wazi sana sio tu katika maandiko lakini pia katika sheria zilizoongoza jamii nyingi. Katika mifumo ya kisasa ya thamani na ya kidunia mtazamo wa binadamu, ambao huitwa “jinsia.” Mungu aliyeteua mfumo katika jamii, sio mwanadamu aliuweka, na Yeye ni mwandishi wa kanuni za kuanzisha mamlaka. Hata hivyo, kama kila kitu kingine, kuanguka kwa mwanadamu kulipotosha utaratibu huu. Hiyo imesababisha ukosefu kamili wa usawa wa wanaume na wanawake katika historia. Kutengwa na ubaguzi tunapata katika dunia yetu ni kitu kipya. Ni matokeo ya anguko la mwanadamu na kuanzishwa kwa dhambi. Kwa hivyo, tunaweza kusema kuwa neon na mazoea ya “ngono” ni matokeo ya dhambi. ufunuo maendeleo wa Bibilia hutuongoza kwa tiba ya vitendo vya ngono na kwa kweli kila aina ya utendaji wa dhambi ya jamii ya binadamu.

Ili kupata na kudumisha usawa wa kiroho kati ya nafasi ya Mungu aliyeteuliwa na mamlaka, ni lazima tuangalie katika maandiko. Agano Jipya ndilo timiza la Agano la Kale, na ndani yake sisi kupata kanuni ambazo zinatuambia kanuni sahihi ya mamlaka na tiba ya laana ya dhambi, ugonjwa wa mwanadamu wote, na hiyo ni pamoja na ubaguzi wa misingi juu ya jinsia.

Msalaba wa Kristo ndio mizani kubwa. Yohana 3:16 inasema, “Amwaminiye”, na kwamba ni taarifa yote ya umoja kwamba haimwachi nje hata mmoja juu ya msingi wa nafasi yake katika jamii na uwezo wa akili, au jinsia. Pia tunapata kifungu katika Wagalatia ambacho kinasungumzia juu ya nafasi yetu wote kuwa sawa kwa ajili ya wokovu. “Nyiny ni wana wa Mungu kwa njia ya imani katika Kristo Yesu, kwa ajili yetu wote tuliobatizwa katika Kristo tummemvaa Kristo. Hakuna Myahudi wala Myunani, mtumwa na mtu huru, mwanamume na mwanamke, kwa maana wote ni mwili mmoja katika Kristo Yesu” (Wagalatia 3:26-28). Hakuna ubaguzi wa kijinsia katika msalaba.

Bibilia sio ya ubaguzi wa kijinsia katika viigizo vyake sahihi vya matokeo ya dhambi kati ya wanaume na wanawake. Bibilia imenaikili kila aina ya dhambi na utumwa na upungufu mkubwa wa mashujaa wake. Hata hivyo pia inatupa jibu na tiba ya dhambi hizo ambazo ni kinuyume na mpango imara wa Mungu na uhusiano mzuri na Mungu. Agano la Kale lililenga mbele kwa kile dhabihu kuu, na kila wakati dhabihu ya dhambi ilitolewa, alikuwa inafundisha haja ya maridhiano kwa Mungu. Katika Agano Jipya,”Mwanakondoo aichukuaye dhambi ya ulimwengu” alizaliwa, akafa, akazikwa na kufufuka tena, na kisha kupaa kwenda mbinguni, na huko anatuombea kwa ajili yetu. Ni kwa njia ya imani katika Yeye tiba kwa ajili ya dhambi inpatikana, ikiwa ni pamoja na dhambi ya ngono.

Malipo ya vitendo vya ngono katika Bibilia msingi wake upo juu ya ukosefu wa maarifa ya maandiko. Wakati wanaume na wanawake wa umri wote wamechukua nafasi yao walioteuliwa na Mungu na kuishi kulingana na “Bwana asema hivi,” basi kuna usawa wa ajabu kati ya jinsia. Uwiano ndoo Mungu alianza nao, na ndio atamiliza nao. Kuna kiasi cha umakini kimepew kwa matokeo mbalimbali ya dhambi na sio hadi kwa mzizi yake. Ni wakati tu kuna maridhiano binafsi na Mungu kwa njia ya Bwana Yesu Kristo ndipo tunapata usawa wa kweli. “Basi mtajua ukweli, na kweli itawaweka huru” (Yohana 8:32).

Pia ni muhimu sana kuelewa kwamba majukumu tofauti ambayo Bibilia inawapa wanaume na wanawake ngono haipo ndani. Biblia inaweka wazi sehemu nyingi kwamba Mungu anatarajia wanaume kuchukua nafasi ya uongozi katika kanisa na nyumbani. Je, hii inawadunisha wanawake? La Hasha. Je, hii inamaanisha kuwa wanawake wamepungukiwa kibusara, kukosa uwezo, au kutazamwa kama viumbe vidogo mbele ya macho ya Mungu? La hasha! Chenye inamaanisha ni kwamba katika dunia yetu ya dhambi inayobadilika, yafaa kuwe na muundo na mamlaka. Mungu ameweka majukumu ya mamlaka kwa manufaa yetu. Ubaguzi wa kijinsia ni matumizi mabaya ya majukumu haya, si kuwepo kwa majukumu yenyewe.

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Ni Mungu / Bibilia iko kijinsia?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries