settings icon
share icon
Swali

Je, tatizo la Injili ni gani?

Jibu


Wakati Injili za kwanza tatu Mathayo, Marko, na Luka-zinalinganishwa bila kosa matukio yote ni sawa kwa mtu mwingine katika maudhui na kujieleza. Matokeo yake, Mathayo, Marko, na Luka ndio yanajulikana kama "Injili Takatifu." Neno synoptic kimsingi lina maana "kuona pamoja kwa lengo la kawaida." Kufanana kati ya Injili imesababisha baadhi kustaajabu kama waandishi wa Injili walikuwa na chanzo cha kimoja, akaunti nyingine ya maandishi ya Kristo kuzaliwa, maisha, huduma, kifo, na ufufuo ambayo kwayo wao walipata hupatikana ujumbe kwa ajili ya Injili zao. Swali la jinsi ya kueleza kufanana na tofauti kati ya Injili unaitwa Tatizo la Injili.

Baadhi wanadai kuwa Mathayo, Marko, na Luka zafanana hivyo kwamba lazima wametumia Injili ya kila mmoja au chanzo kingine sawa. "Chanzo" hiki dhanio limepewa jina "Q" kutoka neno la Kijerumani Quelle, ambalo lina maana ya "chanzo." Je, kuna ushahidi wowote kwa hati "Q"? La! hakuna. Hakuna sehemu au kipande cha "Q" hati imewahi kugunduliwa. Hakuna baba kanisa wa mapema kamwe walitaja katika Injili "chanzo" cha maandishi yao. "Q" ni uvumbuzi wa "wasomi" huria ambao wanakataa uongozi wa Biblia. Wao wanaamini Biblia kuwa fasihi pekee sio kitu kingine, ambayo inajitokeza kwa upinzani huo kutokana na matendo mengine ya maandiko. Tena, hakuna ushahidi wowote kwa hati "Q" -Kibiblia, kiteolojia, au kihistoria.

Kama Mathayo, Marko, na Luka hakutumia hati "Q", kwa nini Injili zao hufanana hivyo? Kuna maelezo kadhaa iwezekanavyo. Kuna uwezekano kwamba kwa namna yoyote Injili iliandikwa kwanza (labda Marko, ingawa baba wa kanisa wataarifa kwamba Mathayo iliandikwa kwanza), na waandishi wengine wa Injili na huduma hiyo. Hukuna kabisa tatizo na wazo kwamba Mathayo na / au Luka wanakili baadhi ya maandishi kutoka Injili ya Marko na kutumika katika Injili zao. Labda Luka aliweza kupata uandishi wa Marko na Mathayo na kutumia maandiko kutoka zote mbili katika Injili yake mwenyewe. Luka 1:1-4 inatuambia, "Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mamboyale yaliyotimizwa katikati yatu, kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neon tokea mwanzo, kukuandkikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu, upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa."

Hatimaye, "Tatizo" la Injili sio tatizo kubwa kama baadhi hujaribu kulifanya kuwa. Maelezo ni kwa nini Injili sinafanana ni kwamba zote zinaongoza kwa Roho Mtakatifu sawa na zote zimeandikwa na watu ambao walishuhudia au waliambiwa kuhusu matukio sawia. Injili ya Mathayo iliandikwa na Mathayo mtume, mmoja wa wale kumi ndio wale waliomfuata Yesu na walitiwa wakuvu naye. Injili ya Marko iliandikwa na John Mark, mshirika wa karibu wa Mtume Petro, mwingine mmoja wa wale thenashara. Injili ya Luka iliandikwa na Luka, mshirika wa karibu wa mtume Paulo. Mbona tusitarajie akaunti zao kuwa na usawa na mtu mwingine? Kila injili hatimaye iliongoza kwa Roho Mtakatifu (2 Timotheo 3:16-17; 2 Petro 1:20-21). Kwa hiyo, tunapaswa kutarajia mshikamano na umoja.

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Je, tatizo la Injili ni gani?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries