Swali
Je! Ni dhambi kuwa na hirisi/uchawi wa ngono?
Jibu
Uchawi wa kingoni mara nyingi huvutia sehemu fulani ya mwili, miguu kwa mfano. Kuvutiwa na sehemu ya miwli huanza kukukua na kuwa tamaa. Basi swali linaibuka, ni makosa kuwa na sehemu ya Fulani ya mwili isiyo ya ngono? Jibu linategemea hali ya mtu anayeuliza swali na kiwango ambacho uchawi wa ngono unafanywa.
Hakuna makosa yoyote katika kuwa na sehemu ya mwili inayovutia sana. Biblia inasema kwamba miili yetu imeumbwa kwa namna ya ajabu na ya kutisha (Zaburi 139:14). Ndani ya mipaka ya ndoa, hakuna ubaya kwa mume au mke hasa kufurahia sehemu ya mwili wa mwenziwe. Ingawa baadhi ya mingu inaonekana ya ajabu sana, hakuna sehemu ya mwili ambayo “imezuiliwa” kati ya mume na mke, ikiwa iko ndani ya “makubaliano” (1 Wakorintho 7:5). Ndani ya ndoa, uchawi wa kujamiiana ungekuwa wa dhambi tu ikiwa ungegeuka kuwa chuki (sanamu), au ikiwa uchawi huo unamsumbua mwenzi au kwa njia yoyote unakwenda kinyume na mapenzi yake. Tafadhali soma Makala yetu kuhusu “Ni nini ambacho wanandoa Wakristo wanaruhusiwa kufanya katika ngono?”
Kwa mtu ambaye hajaoa, tena sio makosa kuwa na mvuto kwa sehemu fulani ya mwili. Hata hivyo, mtu ambaye hajaoa anahitaji kuwa mwanagalifu sana ili mvuto huo usigeuke na kuwa tamaa. Mara tu mvuto huo unapogeuka na kuwa tamaa ya kufanya jambo lisilo la kiadili, imekuwa dhambi. Mvuto kwa jinsia tofauti ni kawaida na asili. Tena, kivutio sio hoja. Lakini kama vile Yesu alisema, “Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Usizini.’ Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake” (Mathayo 5:27-28).
Baadhi ya sehemu za mwili zinazovutia zinaonekana kuwa za ajabu kwa baadhi ya watu. Wakati huo huo, katika mipaka ya maridhiano, si vibaya kuwa na hirisi za ngono. Jambo la msingi ni kuepuka uchu, tamaa, na kumfanya mwenzi wako akose raha. Kwa wale ambao hawajaolewa, hirisi za ngono zinapaswa kukandamizwa iwezekanavyo. Kitu kisicho na madhra kama miguu inayovutia kinaweza kugeuka kuwa tamaa, ambayo inaweza kugeuka kuwa uasherati. Warumi 6:19, “Kama vile mlivyokuwa mkivitoa viungo vya miili yenu kama watumwa wa mambo machafu na uovu uliokuwa ukiongezeka zaidi, hivyo sasa vitoeni viungo vyenu kama watumwa wa haki inayowaelekeza mpate kutakaswa.”
English
Je! Ni dhambi kuwa na hirisi/uchawi wa ngono?