settings icon
share icon
Swali

Kuna tofauti gani kati ya kanisa la dunia zima na kanisa la nyumbani?

Jibu


Ili uelewa tofauti kati ya kanisa la nyumbani na kanisa la wote, ni lazima mtu apate ufafanuzi msingi wa kila moja. Kanisa la nyumbani ni kundi la waumini katika Yesu Kristo ambao hukutana katika baadhi ya eneo fulani mara kwa mara. Kanisa la wote limeundwa na waumini wote katika Yesu Kristo duniani kote. Neno kanisa, linatokana na maneno angalau 2. Moja ya maneno ina maana ya kukutana pamoja au "mkusanyiko" (1 Wathesalonike 2:14; 2 Wathesalonike 1:1). Neno hili ndilo linahusiana na kazi ya Mungu katika kuokoa na kutakauza waumini "wale walioitwa." Wakati neno kanisa hupatikana katika Biblia ya Kiingereza, neno lililotumika ni hili moja. Neno la pili ni lile linasungumzia umilikaji na linamaanisha, "mali ya Bwana." Hili ndilo neno ambalo limetafsiriwa katika neno halisi, "kanisa." Neno hili la Kigiriki tu hutumika mara mbili katika Agano Jipya na kamwe halitumiki moja kwa moja kutaja kanisa (1 Wakorintho 11:20; Ufunuo 1:10).

Kanisa la nyumbani kwa kawaida hufafanuliwa kama mkutano wa wale wote wanaodai imani na utii kwa Kristo. Mara nyingi neno la Kigiriki, ekklesia, limetumika katika kumbukumbu ya mkutano wa nyumbani ( 1 Wathesalonike 1:1; 1 Wakorintho 4:17, 2 Wakorintho 11:8). Hakuna kanisa hasa moja katika eneo lolote moja nzima. Kuna makanisa mengi ya nyumbani katika miji mikubwa.

Kanisa la jumla ni jina lilopewa kanisa duniani kote. Katika hali hii wazo kuhusu kanisa haliko katika mkutano wenyewe lakini badala ni kwa wale wanoiunda. Kanisa ni kanisa hata kama haifanyi mkutano rasmi. Katika Matendo sura ya 8 na mstari wa 3, mtu anaweza kuona kwamba kanisa ni kanisa hata wakati wako nyumbani. Baada ya kuchunguza Nakala halisi ya Matendo 9:31, mtu anaweza kuona kwamba Nakala ya Mfalme Yakobo (Bibilia) inatoa neno makanisa lazima kweli iwe ni kanisa moja ambayo inaelezea Kanisa la jumla sio makanisa ya nyumbani. Baadhi yaw engine wanaweza kujaribu kuelezea Kanisa la ujumla kama kanisa linaloonekana. Uwe makini usifanye hivyo. Kanisa la jumla kamwe halijaelezwa katika maandiko kama kanisa linaloonekana na hakika hailikunuiwa kuwa la kuonekana. Hapa kuna mistari zaidi ambayo inazungumzia kuhusu kanisa zima la ujumla: (1 Wakorintho 12:28; 15:9; Mathayo 16:18; Waefeso 1:22-23; Wakolosai 1:18).

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Kuna tofauti gani kati ya kanisa la dunia zima na kanisa la nyumbani?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries