Swali
Kukana Mungu ni nini?
Jibu
Katika maana ya jumla sana, mkana Mungu ni mtu ambaye anaamini angalau katika mungu mmoja. Imani Kwamba Mungu yupo na ni muumba na mtawala wa dunia inasimama kinyume na ukanaji mungu (ukanushaji wa kuwepo kwa mungu yeyote) na agnostiki (imani kwamba hatuna habari za Mungu wala hatuwezi kuzijua). Imani kwamb Mungu yupo n ani muuma na mtawala wa duni inaeza jumuisha mojawapo ya mitazamo ifuatayo ya kiulimwengu:
Imani kwama kuna Mungu mmoja: Mwenye imani kwamba kuna Mungu mmoja ni mtu ambaye anaamini katika Mungu mmoja. Imani ya Mungu mmoja inakubalika katika Uyahudi, Ukristo, na Uislamu, ingawa kila dini ina mtazamo tofauti wa Mungu.
miungu wengi: Mtu anayeamini katika kuabudu miungu wengi. Wale walioamini katika miungu ya utamaduni wa Kiyunani-Kirumi walikuwa wanaabudu miungu wengi. Leo hii, wale ambao wanakubali miungu wengi na miungu ya kike ya roho ya dunia wanaeza zingatiwa kama washirikina.
Imani ya uungu bila ufunuo: Muumini asiyekubali ufunuo anaamini katika Mungu (au wakati mwingine miungu) ambaye aliumba ulimwengu lakini hafanyi kazi ndani ya ulimwengu.
Imani kuwa Mungu yumo ndani ya kila kitu: Muumini wa Mungu kuwa ndani ya kila kitu anaamini kuwa mungu yuko ndani ya kila kitu na kila kitu ni mungu. Wana Imani ya mungu kuwa dnani ya kila kitu pia hujumuisha wazo kwamba mungu au miungu waliumba ulimwengu na vitu vyote.
Autotheism: An autotheist is anyone who makes the claim that he or she is God or an enlightened one.
Kujichukulia kuwa mungu: kujiona kuwa mungu ni mtu yeyote ambaye anafanya madai kwamba yeye ni Mungu au aliyeelimika.
Kulingana na Maandiko, kuna Mungu mmoja ambaye aliumba mbingu na nchi (Mwanzo 1:1). Mafundisho haya siyo ya kubishana lakini yanapuuzwa katika Biblia. Kwa kweli, Zaburi 14:1 inafundisha, “Mpumbavu anasema moyoni mwake, “Hakuna Mungu.” Zaidi ya hayo, Agano la Kale linafundisha kwa wazi imani ya Mungu mmoja: “Sikia, ee Israeli: Bwana Mungu wako, Bwana ni mmoja” (Kumbukumbu 6:4). Kumbukumbu la Torati 4:39 inaongeza, “Bwana ndiye Mungu mbinguni juu na duniani chini. Hakuna mwingine.”
Kulingana na Agano Jipya, Mungu huwepo kama Mungu mmoja katika Utatu anayejumuisha Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu (Mathayo 28:19—“katika jina”, umoja). Watu wote katika Mungu wa Utatu wametajwa pia katika ubatiso wa Yesu, wakati sauti ya Mungu Baba inaongea kutoka angani kwa Yesu na Roho akashuka kama njiwa (Mathayo 3:16-17).
Mkirsto kwa namna fulani ni wa imani kwamba Mungu yupo na ni muumba na mtawala wa dunia. Mkirsto ni wa imani ya Mungu mmoja ambaye anakubali mtazamo wa Mungu wa Utatu na kuaamini katika Yesu kama Bwana aliyefufuka (Warumi 10:9)
English
Kukana Mungu ni nini?