Swali
Je ni vipi nafsi ya binadamu uumbwa?
Jibu
Kuna mambo mawili ya mtazamo wa kibiblia kuhusu jinsi nafsi ya binadamu imeumbwa. Utamadunia ni nadharia kwamba nafsi inatokana na wazazi wa uzao pamoja na mwili. Uungaji mkono kwa utamadunia ni kama ifuatavyo: (A) Katika kitabu cha Mwanzo 2:7, Mungu alimwekea Adamu pumzi ya uhai, na kumfanya Adamu “nafsi iliyo hai.” Hakuna mahali maandiko yamekumbukumbu Mungu kufanya tendo hili tena. (B) Adamu alikuwa na mwana kwa sura yake mwenyewe (Mwanzo 5:3 ). Uzao wa Adamu unaonekana kuwa wa "nafsi hai" bila Mungu kuweka pumzi yake ndani yao. (C) Mwanzo 2:2-3 inaonyesha kwamba Mungu aliacha kazi yake ya ubunifu. (D) Dhambi ya Adamu huathiri watu wote - kimwili na kiroho - hii huwa na maana kuwa mwili na roho zote huja kutoka kwa wazazi. Udhaifu wa utamadunia ni kwamba haijulikani ni jinsi gani roho aisiye ona uharibifu anaweza kuzalishwa kupitia mchakato wa kimwili. Utamadunia unaweza tu kuwa kweli kama mwili na roho umeshikamana kiwango hauwezi kuachana.
Mtazamo wa uumbaji ni kwamba Mungu aliumba roho mpya wakati binadamu alikua mimba. Mtazamo-uumbaji uliaminiwa na wengi wa baba wa kanisa la kwanza na pia unaungwa na maandishi. Kwanza, maandiko yanatofautisha asili ya nafsi kutoka na asili ya mwili (Mhubiri 12:7, Isaya 42:5; Zakaria 12:1, Waebrania 12:9 ). Pili, kama Mungu aliumba kila nafsi ya mtu binafsi wakati inahitajika, mgawanyo wa roho na mwili ni unaaminika kuwa imara. Udhaifu wa mtazamo-uumbaji ni kwamba Mungu daima anaendelea kuumba nafsi mpya za binadamu, huku Mwanzo 2:2-3 inaonyesha kwamba Mungu ameacha kuumba. Pia, tangu kuwepo binadamu kuzima - mwili, nafsi, na roho zimeathiriwa na dhambi na Mungu na Mungu anaumba roho mpya kwa ajili ya kila binadamu, ni jinsi gani roho huyo anaambukizwa dhambi?
Mtazamo wa tatu, lakini ule ambao unaokosa uungaji wa kibiblia, ni dhana kwamba Mungu aliumba nafsi za watu wakati huo huo, na "akaunganisha" roho kwa binadamu wakati wa mimba. Mtazamo huu anashikilia kwamba kuna aina ya "ghala ya nafsi" mbinguni ambapo Mungu anahifadhi nafsi zinzosubiri mwili wa binadamu ili ziunganishwe. Tena, mtazamo huu hauna uungaji wa Biblia, na hasa unashikiliwa na wale wa "mvumo wa kizazi kipya" au wale wa wazo la ubadilisho wa nafsi na kuwa kitu kingine.
Hata kama maoni ya utamadunia au maoni ya uumbaji ni sahihi, yote hukubaliana kwamba nafsi haipo kabla ya mimba. Haya yanaonekana kuwa mafundisho dhahiri ya Biblia. Kama Mungu anaumba nafsi mpya ya binadamu wakati wa mimba, au kama Mungu anachora mchakato wa uzazi wa binadamu pia huzaliana roho, Mungu anawajibika na kwa uumbaji wa kila mmoja na kila nafsi ya mwanadamu.
English
Je ni vipi nafsi ya binadamu uumbwa?