settings icon
share icon
Swali

Sala tafakari ni nini?

Jibu


Ni muhimu kwanza kufafanua “sala Taamuli.” Sala tafakari sio "sala tafakari wakati kuomba tu." Biblia inatuamuru kuomba kwa akili zetu (1 Wakorintho 14:15), hivyo, kwa uwazi, sala uhusisha tafakari "sala tafakari." Hata hivyo, kuomba kwa akili yako sio chenye "sala tafakari" yamaanishaa. Sala ya tafakari polepole imeongezeka katika mazoezi na umaarufu pamoja na kujibuka kwa fugufugu la kanisa linalojitokeza -harakati ambayo unadhihirisha mawazo mengi yasiyo ya Kibiblia na mazoea. Sala tafakari ni mojawapo ya mazoezi hayo.

Sala tafakari, pia inajulikana kama "kuweka maombi katikati," ni mazoezi tafakari ambapo anaye yafanya analenga katika neno na kurudia neno tena na tena kwa muda wa zoezi. Huku sala tafakari hufanyika kwa njia tofauti katika makundi mbalimbali ambayo wanaifanya, kuna mfanano. Sala tafakari inahusisha kuchagua neno takatifu kama ishara ya nia yako ya kuidhinisha uwepo wa Mungu na hatua ya ndani. Sala tafakari kawaida ni pamoja na kukaa kwa raha na macho kufungwa, kutulia kwa ufupi na kimya, ukianzisha neno takatifu. Wakati wa tafakari anayeomba huwa na ufahamu wa mawazo, yeye anafaa kurudia ppole kwa neno takatifu.

Ingawa hii inaweza kuonekana kama zoezi lisilo na hatia, aina hii ya maombi haina uungwaji wa maandishi yoyote. Kwa kweli, ni kinyume ya jinsi maombi yanaelezwa katika Biblia. "Msijisumbie kwa neon lolote; bali katika kila neon kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu." (Wafilipi 4:6). "Tena siku ile hamtaniuliza neon lo lote. Amin, amin, nawaambia, Mkimwomba Baba neon lo lote atawapa kwa jina langu. Hata sasa hamkuomba neon kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu" (Yohana 16:23-24). Aya hizi na zingine wazi wazi zinaonyesha sala kama kuwa mawasiliano yasifikirika na Mungu, si kikundi fulani, kutafakari fumbo.

Sala tafakari, kwa kubuni, inalenga katika kuwa na uzoefu wa fumbo na Mungu. Kipagani, hata hivyo, ni inatawaliwa, na haitegemei ukweli au tendo. Hata hivyo neno la Mungu limepeanwa kwa ajili yetu kwa lengo la kuweka imani yetu msingi, na maisha yetu, juu ya Haki (2 Timotheo 3:16-17). Chenye tunajua kuhusu Mungu ni kwa kuzingatia ukweli; kuamini katika maarifa ya uzoefu juu ya rekodi ya Biblia inamchukua mtu nje ya kiwango ambacho ni cha Biblia.

Sala tafakari si tofauti sana na zoezi la tafakari litumikalo katika dini za Mashariki na ibada Madhehebu mapya. Wafuasi wake wengi hukubaliana na uroho wa wazi kati ya wafuasi kutoka dini zote, kukuza wazo kwamba wokovu unapatikana kwa njia nyingi, ingawa Kristo mwenyewe alisema kuwa wokovu huja kupitia kwake tu (Yohana 14:6). Sala tafakari, kama mazoezi ya kisasa ya harakati za maombi, iko katika upinzani na ukristo wa kibiblia na lazima dhahiri kuepukwe.

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Sala tafakari ni nini?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries