Swali
Je, kila mmoja wetu yuko na 'umbo nzima la Mungu?
Jibu
"umbo zima la Mungu" dhana inasema kwamba kila mtu ana utupu katika nafsi / roho yake / maisha ambayo inaweza kujazwa na Mungu. "Umbo zima la Mungu" ni hamu la undani la moyo wa binadamu kwa kitu kilicho nje yake, kitu kisichokuwa, kitu "nyingine." Mhubiri 3:11 inarejelea Mungu kuweka "milele katika moyo wa mwanadamu.'' Mungu alimuumba mwanadamu kwa kusudi lake la milele, na Mungu tu anaweza kutimiza tamaa zetu kwa milele. Dini zote msingi wake upo katika hamu ya undani "kuunganika" na Mungu. Tamaa hii inaweza tu kutimizwa na Mungu, na hiyo inaweza kufananishwa na "umbo zima la Mungu."
Tatizo, ingawa, ni kwamba ubinadamu huacha uzima huu au majaribio ya kujaza na mambo mengine zaidi ya Mungu. Yeremia 17:9 inaeleza hali ya mioyo yetu "moyo ni mdanganyifu kuliko vitu vyote na zaidi ya tiba. Ambao waweza kuelewa" Sulemani anairudia dhana hiyo : "mioyo ya wanadamu imejaa maovu, na wazimu umo mioyoni mwao wakati walipo hai ... " (Mhubiri 9:3 ). Agano Jipya launga mkono: "Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui huu ya Mungu, kwa maan haitii sharia ya Mungu, wala haiwezi kutii ." (Warumi 8:7). Warumi 1:18-22 inaelezea binadamu kupuuza chenye kinaweza kujulikana juu ya Mungu, ikiwa ni pamoja na "umbo zima la Mungu," na badala yake kuabudu chochote na kila kitu kingine chochote zaidi ya Mungu.
Cha kusikitisha, wengi hutumia maisha yao kutafuta kitu kingine zaidi ya Mungu ili kuridhisha hamu yao kwa ajili ya maana - biashara, familia, michezo , nk. Lakini katika kutafuta mambo haya ambayo si ya milele, wao hubaki bila ridhisho na kushangaa kwa nini maisha yao kamwe yanaonekana hayajaridhishwa. Kuna watu wengi hutafuta vitu vingine zaidi ya Mungu na kufikia hatua ya "furaha" kwa wakati. Lakini wakati tunamwangalia Sulemani, ambaye alikuwa na utajiri wote, mafanikio, heshima, na nguvu katika ulimwengu – kwa ufupi, yale yote ambayo wanadamu hutafuta katika maisha haya tunaona kwamba hakuna hata moja hutimiza hamu ya milele. Alitangaza kuwa yote ni "ubatili," kwa maana yeye aliyatafuta mambo hayo bure kwa sababu hayakumridhisha. Katika mwisho alisema, "Hii ndiyo jumla ya maneno yote yamekwisha sikiwa; mche Mungu, nawe uziskike amri zake, maan kwa jumla ndiyo impasayo mtu " (Mhubiri 12:13).
Kama vile kigingi cha mraba hakiwezi kujaza shimo la mviringo, vile vile "umbo zima la Mungu" ndani ya kila mmoja wetu kumejazwa na mtu yeyote au kitu kingine chochote zaidi ya Mungu. Ni kupitia tu kwa njia ya uhusiano wa binafsi na Mungu kwa njia ya imani katika Yesu Kristo a
Unaweza jazwa na "umbo zima la kiungu" na hamu ya milele kutimia.
English
Je, kila mmoja wetu yuko na 'umbo nzima la Mungu?