settings icon
share icon
Swali

Biblia inasema nini kuhusu uvivu?

Jibu


Sheria ya kwanza ya Newton ya mwendo inasema kwamba kitu katika mwendo huelekea kubaki katika mwendo, na kitu katika mapumziko huendelea kubaki katika mapumziko. Sheria hii inatumika kwa watu. Huku baadhi wanasukumwa kawaida kuendea kukamilisha miradi, wengine ni ovyo sana, wanahitaji motisha ili kuondokana na hali. Uvivu, ni hali ya maisha kwa baadhi, ni majaribu kwa wote. Lakini Biblia ii wazi kwamba, kwa sababu Bwana aliagiza kazi kwa ajili ya mwanadamu, uvivu ni dhambi. "Ewe mvivu, mwendee chungu, zitafakari njia zake ukapte hekima" (Mithali 6: 6).

The Bible has a great deal to say about laziness. Proverbs is especially filled with wisdom concerning laziness and warnings to the lazy person. Proverbs tells us that a lazy person hates work: “The sluggard's craving will be the death of him, because his hands refuse to work” (21:25); he loves sleep: “As a door turns on its hinges, so a sluggard turns on his bed” (26:14); he gives excuses: “The sluggard says, ‘There is a lion in the road, a fierce lion roaming the streets’” (26:13); he wastes time and energy: “He who is slothful in his work is a brother to him who is a great waster” (18:9 KJV); he believes he is wise, but is a fool: “The sluggard is wiser in his own eyes than seven men who answer discreetly” (26:16).

Biblia ina mpango mkubwa wa kusema kuhusu uvivu. Mithali imejawa na hekima kuhusu uvivu na onyo kwa mtu mvivu. Mithali inatuambia kwamba mtu mvivu anachukia kazi: "Matakwa yake mtu mvivu humfisha, kwa maana mikono yake hukataa kufanya kazi." (21:25); yeye anapenda kulala: "Kama vile mlango ugeukavyo katika bawaba zake,kadhalika mtu mvivu katika kitanda chake" (26:14); yeye anatoa visingizio: "Mtu mvivu husema, simba yuko njiani , simba yuko katika njia kuu'" (26:13);anapoteza muda na nishati: "Yeye naye aliye mvivu katika kazi yake, Ni ndugu yake aliye mharabu" (18: 9 KJV); yeye anaamini kuwa ana busara, lakini ni mjinga: "Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake, Kuliko watu saba wawezao kutoa sababu" (26:16).

Proverbs also tells us the end in store for the lazy: A lazy person becomes a servant (or debtor): “Diligent hands will rule, but laziness ends in slave labor” (12:24); his future is bleak: “A sluggard does not plow in season; so at harvest time he looks but finds nothing” (20:4); he may come to poverty: “The soul of the lazy man desires and has nothing; but the soul of the diligent shall be made rich” (13:4 KJV).

Mithali pia inatuambia mwisho uliohifadhiwa kwa ajili ya wavivu: mtu mvivu anakuwa mtumishi (au mdaiwa): "Mkono wa mwenye bidii utatawala ; bali mvivu atalipishwa kodi." (12:24); mustakabali wake ni wa giza: "Mtu mvivu hataki kulima wakati wa baridi; hivyo wakati wa mavuno ataomba,hana kitu "(20: 4); anaweze kuja kuwa maskini: "Nafsi ya mtu mvivu hutamani asipate kitu;bali nafsi ya mwenye bidii itanenepeshwa "(13: 4 KJV).

Hakuna nafasi kwa uvivu katika maisha ya Mkristo. Muumini mpya anafundishwa hivyo kwa kweli "... kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu wala si kwa matendo mtu awaye yote asije akajisifu" (Waefeso 2: 8 -9). Lakini muumini anaweza kuwa mzembe kama yeye anaamini kimakosa Mungu hatarajii matunda kutoka kwa maisha yaliyobadilishwa. "Maana tu kazi yake, tuliumbwa katika Kristo Yesu, tutende matendo mema, ambayo tokea awali Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo" (Waefeso 2:10). Lakini mtu atasema, wewe unayo imani ,nami ninayo matendo. Nionyeshe imani yako pasipo matendo,nami nitakuonyesha imani yangu kwa njia ya matendo yangu; Maana kama vile mwili pasipo roho umekufa ,vivyo hivyo na imani pasipo na matendo imekufa.(Yakobo 2:18, 26). Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya. (2 Wakorintho 5:17).

Katika asili yetu mpya, tumetiwa motisha kwa bidii na uzaaji kutoka kwa upendo kwa Mwokozi wetu ambaye alitukomboa. Mwelekeo wetu wa kale kwa uvivu - na dhambi zingine zote –tamaa ya kutaka kuishi maisha ya kumcha Mungu imekuwa badala yake: "Mwibaji asiibe tena; bali afadhali afanye juhudi, akitenda kazi iliyo nzuri kwa mikono yake mwenyewe, apate kuwa na kitu cha kumgawia mhitaji" (Waefeso 4:28).Tumesukumwa na mahitaji ya kutafutia familia zetu kwa njia ya kazi zetu: "Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa,ameikana imani ,tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini" (1 Timotheo 5: 8 ); na kwa wengine katika familia ya Mungu: "Ninyi wenyewe mnajua ya kuwa mikono yangu hii imetumika kwa mahitaji yangu na ya wale waliokuwa pamoja nami. Katika mambo yote nimewaonyesha ya kuwa kwa kushika kazi hivi imewapasa kuwasaidia wanyonge, na kuyakumbuka maneno ya Bwana Yesu,jinsi alivyosema mwenyewe: "Ni heri kutoa kuliko kupokea" (Matendo 20: 34-35) .

Kama Wakristo, tunajua kwamba kazi zetu zitailipwa na Bwana wetu kama tutadumu kwa bidii: "Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho. Kwa hiyo kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema; na hasa jamaa ya waaminio" (Wagalatia 6: 9-10); "Lo lote mfanyalo,lifanyeni kwa moyo, kama kwa Bwana, wala si kwa wanadamu, mkijua ya kuwa mtapokea kwa Bwana ujira wa urithi. Mnamtumikia Bwana Kristo" (Wakolosai 3: 23-24); "Maana Mungu si dhalimu hata aisahau kazi yenu, na pendo lile mlilolidhihirisha kwa jina lake,kwa kuwa mmewahudumia watakatifu, na hata hivi sasa mngali mkiwahudumia" (Waebrania 6:10).

Wakristo wanapaswa kufanya kazi kwa nguvu za Mungu kwa kuinjilisha na utumishi. Mtume Paulo ni mfano wetu: "ambaye sisi tunamhubiri habari zake tukimwonya kila mtu, na kumfundisha kila mtu katika hekima yote, tupate kumleta kila mtu mtimilifu katika Kristo.Nami najitaabisha kwa neno lilo hilo nikijitahidi kwa kadiri ya kutenda kazi kwake atendaye kazi ndani yangu kwa nguvu" (Wakolosai 1: 28-29). Wala hapatakuwa na laana yo yote tena. Na kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo kitakuwamo ndani yake. Na watumwa wake watamtumikia. (Ufunuo 22: 3). Huru kutokana na ugonjwa, huzuni, na dhambi hata uvivu-watumishi wa Mungu watamtukuza Bwana milele. "Basi, ndugu zangu wapendwa, mwimarike, mkazidi sana kutenda kazi ya Bwana siku zote, kwa kuwa mwajua ya kwamba taabu yenu siyo bure katika Bwana" (1 Wakorintho 15:58).

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Biblia inasema nini kuhusu uvivu?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries