settings icon
share icon
Swali

Biblia imenakiri yapi kuhusu kujikinga?

Jibu


Hakuna yaliyonakiriwa katika Biblia kuhusiana na kujikinga. Vipengele Fulani vinavyosimulia kuwa watu wa Mungu kuwa wanafiki (Mithali 25: 21-22; Mathayo 5:39; Warumi 12:17). Pia kunamatetezi kuhusu swala hili la kujikinga. Wakati upi mwafaka kujikinga kunafaidi?

Manufaa mazuri ya kujikinga injumuisha maarifa,kujua na hekima.Luka 22:36, Yesu anajulisha wafuasi wake waliosalia, "Na asiye na upanga,na auze joho yake akanunue." Yesu alifahamu kuwa muda umeika wanafunzi wake watatishiwa,na aliwaamuru kujikinga wenyewe. Muda si muda,Yesu akatiwa mbaroni Petro akachukua kijembe na kutoa mtu mmoja sikio. Yesu anamtuliza Petro hilo tukio (mistari 49-51). Mbona? Jihada kumlinda Bwana, Petro alisalia kwa rehema ya Mungu. Yesu aliwajulisha wafuasi Wake muda mwingi kuwa ilimfaa afungwe,atolewe hukumu,na afariki (kwa mfano, Mathayo 17: 22-23).Njia nyingine,Petro alifanya vibaya muda ule.Tunafaa kumiliki busara kuwa lini kushambuliana na lini hatufai.

Kutoka 22inaonyesha jinsi ya kujikinga kulingana na Mungu: "Mwivi akipatikana akiwa yu hali ya kuvunja mahali naye akapigwa hata akafa,hapatakuwa na malipizo ya damu kwa ajili yake.Lakini kama jua limekucha juu yake ndipo patakuwa na malipizo ya damu kwa ajili yake"(Kutoka 22: 2-3).Mafundisho kutokana na haya hizi ni kuwaruhusu ya kuwa na utajiri na pia kuitunza.Mtazamo wakulinda ulihusikana na wakati uliopo.Mtu hafai kufanya haraka kujumuisha kumwaga damu hata kwa yule anamaanisha kumwuumiza. Iwapo mwivi alificha mtu,wakati wa kiza kikuu,na kudhani mwivi ameuagwa,torati haikuhukumu mwenye nyumba na utoaji uhai. Lakini, kama mwizi alipatikana ndani ya nyumba wakati wa mchana, wakati mmiliki wa nyumba hakuwa na uwezekano wa kuepuka kulala, basi Sheria ilizuia mauaji ya mwizi. Kwa hakika, Sheria imesema kuwa wamiliki wa nyumba hawapaswi haraka kuua au kushambulia wezi nyumbani mwao. Hali zote mbili zinaweza kuzingatiwa kujitetea, lakini nguvu ya mauti ilitarajiwa kuwa mapumziko ya mwisho, kutumika tu katika tukio la "mashambulizi ya kushangaza" ambapo mmiliki wa nyumba anaweza kuchanganyikiwa na kuchanganyikiwa. Katika kesi ya mashambulizi ya usiku, Sheria ilitoa mmiliki wa nyumba faida ya shaka kwamba, mbali na giza na kuchanganyikiwa kwa shambulio hilo, hakutumia nguvu ya uhalifu dhidi ya mwizi. Hata katika hali ya kujitetea dhidi ya mwizi, mtu wa kimungu alitarajiwa kujaribu kumzuia mshtakiwa badala ya kumwua mara moja.

Paulo alijiingiza katika kujikinga,ila kwa upole. Katika kushambuliwa kule Yerusalemu, Paulo alijulisha wakuu kuwa,Paulo, alitambulishwa Kirumi. Wakuu walitishiwa na kubadilisha jinsi walimtendea kuwa walivunja torati hata kumtia mbaroni. — Baada ya kupigwa kule Filipi,-ili apate rehema kutoka kwa wale walihujumu uhuru wake. (Matendo 16: 37-39).

Mwanamke mjane kwa mafundisho ya Yesu aliyekuwa akimwendea akisema,"Nipatie haki na adui yangu" (Luka 18: 3). Mjane hakuwa tayari kuvunjika moyo na kumwacha mpinzani wake kufurahia kilicho chake;na kwa namna ifaayo,alijikinga.

"Mgeuzie na la pili"alivyoamrisha Yesu,katika (Mathayo 5:39) inaonyesha tunavyojihusisha katika matendo ya binafsi.Sio tu kulipiza kisasi bali matukio mengine yanatuhitaji kujitetea.Maana ya maundisho haya ni tofauti na "jicho kwa jicho, na jino kwa jino" (mstari wa 38). Kujikinga kwetu sio kulipisa kisasi kwa hali yoyote ile.Bali madhara kadhaa yanaweza kusuluhishwa kwa kuvumiliana na kupendana.

Biblia haijakataa kujikinga na waaminiao wanaweza kujitetea na jamii yao.Kwa maana tumekubaliwa kujikinga hatufai kutenda hivyo kwa kila wakati.Kumtambua mawazo ya Mungu kwa kulifahamu neno lake na kuegemea "hekima inayotoka juu" (Yakobo 3:17) itatuongoza kutambua kuitikia wakati tunahitajika kujikinga.

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Biblia imenakiri yapi kuhusu kujikinga?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries