settings icon
share icon
Swali

Biblia inadokeza nini kuhusu kisasi?

Jibu


Mengi yamenakiriwa kuhusu kisasi katika Biblia. Kote katika Kiebrania na Kigiriki yametafsiri"kisasi," "kisasi," na "kisasi" kama yaliyo na msingi wa kuadhimiza adhabu. Hapa kuna umuhimu kufahamu kusudi la Mungu la kujiwekea ulipizaji wa kisasi.

Ya msingi kwa dhana hii imenukuliwa kwa Agano la Kale na mara mbili katika Agano Jipya. Mungu alisema, "Kisasi ni changu mimi na kulipa wakati itakapoteleza miguu yao,maana siku ya msiba wao imekaribia,na mambo yatakayowapata yatafanya haraka. "(Kumbukumbu la Torati 32:35; Warumi 12:19; Waebrania 10:30).Kumbukumbu la Torati, Mungu anaangazia Waisraeli waliomkataa na kukaidi na wakakabiliwa na hasira Yake kwa ubaya wao. Alitoa ahadi ya kuachilia hamaki yake kwa muda wake na kwa muda unaofaa na malengo yake. Vifungo vyote katika Agano Jipya vinalenga njia za Mkristo, anayekaidi uwezo wa Mungu. Vinginevyo, tunapaswa kuachilia afanye kukemea na kumwaga hasira yake kwa mahasidi wake ifaavyo.

Mungu daima hajatoa hukumu kwa kusudi baya na hii ni tofauti na wanadamu.Kisasichake hulenga kuwakosoa waliomkataa na kumkejeli. Tunafaa basi kumsihi Mungu alipiza kisasi pekee yake kwa unadhifu na utukufu dhidi ya maadui waovu. Katika Zaburi 94: 1, mwimba-zaburi anasali kwa Mungu awatunuku wenye haki, si kwa misingi ya mwelekeo ukosao misingi ilakutoka kwa Hakimu aliyejaa unadhifu. Mungu tu hutoa adhabu,hata pale walio kamilifu hukabiliwa na watenda maovu kufanisi. "BWANA ni Mungu mwenye wivu naye hujilipiza kisasi; BWANA hujilipiza kisasi juu ya adui zake;huwawekea adui zake akiba ya hasira."(Nahumu 1: 2).

Mara dufu katika Biblia Mungu amewapa wanadamu nafasi ya kulipiza kisasi kutumia jina lake. Mosi, baada ya Wamidiani kutenda matendo maovu,ya kudunisha kwa Waisraeli, kapu la hasira ya Mungu juu ya Wamidiani ilikuwa mingi,na akaamrisha Musa kuwaelekeza wanadamu kwenye vita. "BWANA akamwambia Musa," Rudisha Wadidiani kwa ajili ya Waisraeli. Baada ya hayo, utakusanyika kwa watu wako "(Hesabu 31: 1-2) Huku pia, Musa hakutenda yeye binafsi, alitumika tu kukamilisha malengo ya Mungu kwa mwongozo wake. Pili, Wakristo wanaaa kuwatii viongozi kwa maana hutumika ili "kulipiza kisasi kwa waovu" (1 Petro 2: 13-14) Kama katika kesi ya Musa, viongozi hawa hawafanyi wenyewe, bali kufanya matakwa ya Mungu kwa kuhukumu wabaya.

Inatishia kujaribu kufanya kazi ya Mungu na kutaka kuwahukumu wale tunaoonelea wanafaa. Kwa maana maumbile yetu ni ya kidhambi, hatutaweza kulipiza kisasi na lengo jema.Hii ndio maana torati ya Musa ina amri "Usianye kisasi wala kuwa na kinyongo juu ya wana wa watu wako bali umpende jirani yako kama nfsi yako Mimi ndimi Bwana."(Mambo ya Walawi 19:18). Pia Daudi, "mtu baada ya moyo wa Mungu" (1 Samweli 13:14), alilenga kutoa hukumu kwa Sauli, hata kama Daudi alikuwa ambaye alikosewa. Daudi alishika agizo la Mungu la kutolipiza kisasi na kutegemea Yeye: "Bwana atuamue mimi na wewea. Na Bwana anilipizie kisasi change kwako lakini mkono wa Mungu hautakuwa juu yako."(1 Samweli 24:12).

Kama Wakristo, tunatakiwa amri ya Bwana Yesu ya "wapendeni adui zenu waombeeni wanaowahudhi." (Mathayo 5:44), wakiwachwa Mungu kisasi.

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Biblia inadokeza nini kuhusu kisasi?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries