Swali
Biblia inanakiri nini kuhusu umaarufu / kutaka kuwa maarufu?
Jibu
Halaiki kubwa hutamani kutambulika na umati. Wana hushirikishwa na husoma mawaidha ya wale wangependa kufurahisha kwa kurekebisha tabia kwa ubora. Hata kama,tunajitahidi kupata umaarufu mkubwa kutoka kwa mtazamo wa wengi,tunakuwa tumepotoka. Mtazamo wa kawaida hugeuka,na tunapotia ubora mwingi kwake,tunainua tamaa kuwa juu. Tunpoangazia umaarufuili kujipa raha,tunajiunga na kuabu miungu. Tunaponyakua umuhimu wetu kwa lolote ama mtu kando na Mungu,tunajijengea miungu. Miungu ni kiumbe au mtu tunayotegemea ili kupata tunayohitaji ya muhimu ambayo ni Mung utu ana uwezo wa kukidhi.
Azimio la umaarufu umekithiri kuhitaji kufikiriwam vibora kitabia kutoka kwa umati-tunafaa kuazimia ushuhuda bora duniani (Wafilipi 2:15). Azima ya utata na ubinafsi.Azimio la kutambulika ni kipande cha "kiburi cha maisha" itambuliwayo kwa 1 Yohana 2:16. Inahisi vyema katika nafsi,na tunafaa kujisitiri katika hisia hizo kuliko kujishirikisha binafsi katika kujikubali kwa ulegevu. Haya huota jivuno. Majivuno hukorogakuangalia kwetu na kufunikia madhara yetu na kuanguka. (Mithali 16:18; Warumi 12: 3).
Kutambulika ni sanamu inayo sababisha kuanguka kwao. Kiongozi Herode aliogelea kwenye umaarufu muda wa mauti yake ya mshtuko,wa halaiki.(Matendo 12: 19-23). Waelekezi wa uongo hutambulika kawaida na"umati wa watu" (2 Timotheo 4: 3). Kwa kuhuzunisha mfano kutambulika Zaidi ya Mungu unaelezewa kwa Yohana 12: 42-43: "Walakini hata katika wakuu walikuwamo wengi waliomwamini "Yesu"lakini kwa sababu ya Mafarisayo hawakumkiri wasije wakatengwa na sinagogi.kwa maana walipenda utukufu wa wanadamu kuliko utukufu wa Mungu."Yeyote atamaniye utukufu lazima apendelee kwa kadhaa baina ya kupendwa na umati na kibali kutoka kwa Mungu.Dhumuni la Mungu juu yetu kwa kawaida hukinzana na maono ya ulimwengu kutuhusu. (1 Yohana 2:15). Kupata "utukufu," tunafaa kupendelea dunia. Ikumbukwe kufanikisha hayo inaonyesha Yesu si Bwana wa maisha yetu; tulivyo (Luka 9:23).
Wagalatia 1:10 inasema, "Maana sasa je,ni wanadamu ninaowashawishi,au ni Mungu?Au nataka kuwapendeza wanadamu?Kama ningekuwa hata sasa nawapendeza wanadamu,singekuwa mtumwa wa Kristo." Kulingana na maandiko haya,hatutaweza kumfurahisha Mungu na wanadamu pamoja . Azima ya utukufu ni mwanzo wa maisha yetu ya dhambi ya awali. Tunapoiruhusu tunajiweka "kama mwili unahitaji" (Waroma 8: 5, 12). Wakuu wa Kikristo pia wanaweza kuzamia mtego huu wa uongo. Waelekezi ama wahubiri wanaoruhusu utukufu wao kutawala wako mtegoni mkubwa. Bila kuangaliwa,azimio la utukufu unaweza kuwaongoza katika kuurahisha wanadamu,kufunza kinyume2Petro 2:1,na kubadilisha huduma ili kupendeza umati2Timotheo4:3 badalake kudumisha kweli kwa "kila kitu" kusudi la Mungu "(Matendo 20:27).
Yesu ni mwelekeo wetu bora. Alitambulika kuwa bora kwa Mungu na mwanadamu alivyolelewa (Luka 2:52).Hakuwa na mapinzano kwa mawazo yake kwa mambo ambayo angeonelea kutenda,na alionyesha hayo kila wakati.(Yohana 8:29, Marko 1:11). Hawakuachilia utukufu wa masaa kumchanganyana ama kufungia azimio lake. (Yohana 6:15). Hakuruhusu kamwe kupotoka kutoka ukweli,hata ilipodhihirisha kukataliwa(Yohana 6:66), kutishiwa (Yohana 11: 53-54),mwishowe mauti (Yohana 19:16).
Yesu hutuonyesha kikamilifu namna ya kuingiana na wengine. Hatujakuja huku kujiundia sifa. Tuna kufanya tuliyotumwa Baba yetu wa Mbinguni (Matendo 1: 8; Mathayo 28:19). Tunawza kuthaminiwa na wengi,ama kulengwa,hata hivyo hatufai kuacha msimamo wetu kuyumba. (Waebrania 12: 1-3). Tunapoonelea kutambuliwa na Mungu ubora wetu kuliko wadunia,tunajiajiria na kuruhusu kutenda kile Yesu anatutaka kutenda. Alijua kuwa itakuwa ngumu, lakini alitupa ushauri bora wakati aliposema, "Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo,kwa ajili yangu.Furahini na kushangilia;kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni… " (Mathayo 5: 11-12).
English
Biblia inanakiri nini kuhusu umaarufu / kutaka kuwa maarufu?