settings icon
share icon
Swali

Biblia inanakiri vipi dhidi ya kutoa ushuru?

Jibu


Mathayo 22: 17-21, Mafarisayo wakamwuliza Yesu: "'Basi utuambie, waonaje?Ni halali kumpa Kaisari kodi ama sivyo?' Lakini Yesu, akiufahamu uovu wao akasema, "Mbona mnanijaribu enyi wanafiki? Nionyesheni fedha nao wakamletea dinari.Akawaambia ni ya nani sanamu hii na anwani hii?Wakamwambia ni ya Kaisari,Akawaambia Basi mlipeni Kaisari yaliyo ya Kaisari na Mungu yaliyo ya Mungu."Kwa jumla, mtume Paulo alifafanua," Kwa sababu hiyo tena mwalipa kodi kwa kuwa wao ni wahudumu wa Munguunawakidumu katika azi iyo hiyo.Wapeni wote haki zao mtu wa kodi,kodi;mtu wa ushuru,ushuru;astahiliye hou,hofu;asitahiliye heshima,heshima. "(Warumi 13: 6-7).

Inakaa kiwango kikubwa cha viwango vya ushuru ambavyo watu wanajitoza katika uchumi mataifa yote.Ushuru hauchukuliwi vilivyo na mara nyingi wanafanya kazi ya kuchukua kodi huwazwa visivyo na kuchukiwa ikiwa wala ongo ama sivyo.Hakuna kilicho kigeni hapa.Hata katika Bibilia wakusanya kodi hawakuonwa wa maana vile vile (Mathayo 11:19, 21: 31-32; Luka 3: 12-13).

Hata ingawa tunachukizwa na ushuru,ingawa kutoa kodi kunaweza husishwa na mlungula,tunavyoahamu kuwa hela zetu zinaweza kutuletea vitu vya maana,Bibilia imetuamrisha kutoa ushuru wetu Warumi 13: 1-7 inaonyesha kwamba tunafaa kujitoa katika uongozi wetu.Wakati tunafaa tu kukosa kusikiliza uongozi ni pale inatuamuru kutenda yale ambayo yamekemewa katika Bibili. Biblia hutuhimiza kutoa ushuru.Hivyo tunapaswa kutoa ushuru na kujiwasilisha kwa Mungu na anayasemayo pamoja na kutoa ushuru.

Jumla ushuru husaidia kufikia majukumu yanayofaidi watu. Kwa maoni ya wengi vipato vya ushuru mara nyingi hutumiwa visivyo. Inayofanya watu wasite kutoa ushuru ni kuwa hela hutumiwa visivyo na hata kutumika vya malengo mabaya na walio uongozini.Hayo sisi hayatuhusu. Yesu aliponena, "mpe Kaisari ...,"uongozi katika Roma ulikuwa usio na dosari kubwa.Paulo alipotuamuru kutoa ushuru, Nero, aliyekuwa na mabaya mengi wakati wakati wa enzi za Roma,ndiye alikuwa kiongozi mkuu wa nchi hiyo. Tunafaa kutoa ushuru hata pale viongozi hawamuogopi Mungu.

Tuko na ruhusa kuchukua mapunguu katika ushuru.Hatufai kutoa ushuru mkubwa zaidi. Kama uongozi utapunguza ushuru,tunaruhusiwa kupokea hivyo.Ukipata namna iliyoruhusiwa kukaidi kutoa pesa zako ushuru unaweza kuziweka basi. Namna haramu na /ama zisizoaminika za kukosa kutoa ushuru zinafaa kuepukwa. Warumi 13: 2 inatujuza, "Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu;nao washindanao watajipatia hukumu."

Waumini wanafahamu kuwa vyote tunavyo ni vya Mungu.Tumeitwa kuwekeza hela yetuna mali kwa vitu vya kudumu daima,kwa maana sisi ni wafanyaji.Tunafaa kutimizia jamii zetu mahitaji (1 Timotheo 5: 8) na kupeana kwa mwoyo mmoja (2 Wakorintho 9: 6-8). Halafu ni vema kuweka hifadhi (Mithali 6: 6-8) hatimaye kujikimu na hela zetu na kumtukuza Mungu kwa kutupa tunuku hizo. (Yakobo 1:17; Wakolosai 3:17). Kutoa ushuru ni lazima kwa wenye nchi, na Wakristo wanaarifiwa kuwa wazalendo wa manufaa. Ila Wakristo mwishowe ni wakaaji wa mbinguni (Wafilipi 3:20). Kuweka ushuru kuwa mwepesi duniani tuna malengo ya kujihifadhia katika maisha yajayo ya daima.

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Biblia inanakiri vipi dhidi ya kutoa ushuru?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries