Swali
Bibilia inasema nini kuhusu ponografia? Je! Kuangalia picha ya ponografia ni dhambi?
Jibu
Kufika sasa, jambo ambalo limefanyiwa utafiti kwa maneno katika mitandao linahusiana na ponografia. Ponografia imeenea sana katika ulimwengu hii leo. Ingawa zaidi ya kitu cho chote, shetani amefaulu katika kugeuza na kupotosha jinsia. Amechukua chenye ni chema na zuri (mapenzi kati ya mume na mke) na kubadilisha na tama, ponografia, uzinzi, ubakaji, na usenge. Ponografia itakua hatua ya kwanza kila mteremko wa kuteleza wa udhaifu unaongezeka la uovu (Warumi 9:19). Hali ya utawaliwa wa na ponografia imeandikwa vizuri sana. Kama vile mtumiaji wa vileo lazima ayachukue zaidi na zaidi na viwango vya juu vya madawa ili afikie upeo wa “juu” ponografia yamvuta mtu kwelekea ngono na kuwa mazoea na haja sizizo za kiungu.
Viwango vitatu pekee vya dhambi ni tama ya mwili, tama ya macho na kiburi cha maisha (1 Yohana 2:16). Ponografia haifusu kuwa kama mojawapo ya vitu tunavyostahili kuviwaza, kulingana na Wafilipi 4:8. Ponografia humvutia mtu na kuwa mazoea (1 Wakorintho 6:12; 2 Petero 2:19), na ni ya kuharibu (Methali 6:25-28; Ezekieli 20:30; Waefeso 4:19). Kutamani watu wengine katika mawazo, ambayo ni hali ya ponografia, ni dhambi kwa Mungu (Mathayo 5:28). Wakati itakuwa mazoea kwa ponografia inatambulisha maisha ya mtu, inaashiria kuwa huyo mtu hajaokoka (1 Wakorintho 6:9).
Kwa wale wanaohusika na ponografia, Mungu atawapa ushindi. Je! Wewe ni mhusika wa ponografia na wahitaji kuwekwa huru? Hapa kuna hatua za ushindi; 1) Kiri makosa yako kwa Mungu (1 Yohana 1:9). 2) Muulize Mungu akutakaze, akufanye upya na kubadilisha mawazo yako (Warumi 12:2) 3) Muulize Mungu aijaze akili yako na Wafilipi 4:8. 4) Jifunze kuumiliki mwili wako katika utakatifu (1 Wathesalonike 4:3-4). 5) Elewa maana kamili ya ngono na mtegemee mpenzi wako peke yake atomize mahitaji (1 Wakorintho 7:1-5). 6) Gundua ikiwa utatembea katika roho, hautatimiza tamaa za mwili (Wagalatia 5:16). 7) Chukua hatua mwafaka kupungua mienendo yako kwa picha za ponografia. Weka vizuizi vya ponografia kwa tarakilishi yako, na jizuie kutazama runinga inapoonyesha ponografia na kanda na tafuta mkristo mwinginge mwenye atakuombea na kukusaidia kuwajibika.
English
Bibilia inasema nini kuhusu ponografia? Je! Kuangalia picha ya ponografia ni dhambi?