settings icon
share icon
Swali

Je, muumini anastahili kuwa na uwezo wa kuhisi Roho Mtakatifu?

Jibu


Huku wakati wizara fulani za Roho Mtakatifu zinaweza kuhusisha hisia, kama vile hatia ya dhambi , faraja, na uwezeshaji, maandiko hayajatuamuru kuweka msingi wa uhusiano wetu na Roho Mtakatifu, jinsi gani au namna gani sisi tunahisi. Kila muumini aliyezaliwa mara ya pili amejazwa na Roho Mtakatifu. Yesu alituambia kwamba wakati Msaidizi atafika atakuwa nasi ndani yetu. "Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine ili akae nanyi hata milele ndiye Roho wa kweli, ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye atakuwa ndani yenu” (Yohana 14:16-17). Kwa njia nyingine, Yesu anatuma mwingine moja kama yeye mwenyewe kuwa na sisi na kuwa ndani yetu.

Tunajua Roho Mtakatifu yu amoja nasi kwa sababu neno la Mungu linatuambia kwamba hivyo. Kila muumini aliyezaliwa mara ya pili amajazwa na Roho Mtakatifu, lakini si kila muumini anadhibitiwa na Roho Mtakatifu, na kuna tofauti maalumu. Wakati sisi tunachukua njia za kimwili wetu wa nje, sisi hatuko chini ya udhibiti wa Roho Mtakatifu ingawa sisi bado tumejazwa naye. Mtume Paulo atoa maoni juu ya ukweli huu, na yeye anatumia mfano ambao unatusaidia kuelewa. "Tena msilewe kwa mvinyio, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho"(Waefeso 5:18). Watu wengi husoma aya hii na kuitafsiri kuwa na maana ya kwamba mtume Paulo anazungumza juu ya mvinyo. Hata hivyo, mktadha wa kivungu hiki ni mwenendo na vita vya muumini aliyejazwa na Roho. Kwa hivyo, kuna kitu hapa zaidi ya onyo juu ya kunywa mvinyo sana.

Wakati watu wanalewa divai sana, wao huonyesha baadhi ya sifa fulani: wanakosa mawaziliano ya kimwili, hotuba yao ni ya ugugumizi, na hukumu yao ni uharibifu. Mtume Paulo anaweka ulinganisho hapa. Ni kama kuna baadhi ya tabia ambazo hutambua mtu ambaye anadhibitiwa na mvinyo, kuna pia tabia fulani kwamba hutambua mtu ambaye anadhibitiwa na Roho Mtakatifu. Tunasoma katika Wagalatia 5:22-24 kuhusu matunda ya Roho. Haya ni matunda ya Roho Mtakatifu, na ni ulioyanaonyeshwa na muumini ambaye amezaliwa mara ya pili ambaye ako chini ya utawala wake.

Kitenzi katika Waefeso 5:18 kinaonyesha mchakato endelevu wa " kujazwa " na Roho Mtakatifu. Tangu hili ni fundusho, kinachofuata ni kwamba kuna uwezekano pia wa kutojazwa au kudhibitiwa na Roho. Ufahamu mwingine wa Waefeso 5 unatupa sifa za muumini aioyoni mwenu; na kwa mambo yote, katika jina lake Bwana wetu Yesu Kristo; hali mnanyenyekeana katika kicho cha Krist "(Waefeso 5:19-21).

Sisi hatuchajazwa na Roho kwa sababu tunahisi tumejazwa, lakini kwa sababu hii ni bahati na milki ya Kikristo. Kujazwa au kudhibitiwa na Roho ni matokeo ya kutembea katika utii kwa Bwana. Hii ni zawadi ya neema na si hisia. Hisia inaweza na hutudanganya, na tunaweza kufanya kazi wenyewe katika zile hisia mbaya ambazo zinatoka katika mwili na si za Roho Mtakatifu. "Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wal hamtazitimiza kamwe tama za mwili….Tukiishi kwa Roho na tuenende wka" ( Wagalatia 5:16, 25 ).

Baada ya kusema hayo, hatuwezi kukana kwamba kuna wakati tunaweza kuwa na kuzidiwa na uwepo na nguvu za Roho, na hii kwa mara nyingi huwa ni uzoefu wa hisia. hiyo inapotokea, ni furaha isiyo ya kifani. Mfalme Daudi "alicheza kwa nguvu zake zote" (2 Samweli 6:14) wakati wao walileta sanduku ya ahadi ya agano Yerusalemu. Kuhisi furaha na Roho ni kuelewa kwamba kama watoto wa Mungu sisi tumebarikiwa kwa neema yake. Hivyo, kabisa, huduma ya Roho Mtakatifu inaweza kuhusisha hisia zetu. Wakati huo huo, sisi hatustahili kuweka msingi wa uhakika wa milki yetu wa Roho Mtakatifu katika jinsi sisi tunavyouhisi.

English
Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Je, muumini anastahili kuwa na uwezo wa kuhisi Roho Mtakatifu?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries