Swali
Ni kiwango kipi kinachofaa cha kukumbatiana kabla ya ndoa?
Jibu
Waefeso 5:3 yatuambia, “Lakini uasherati usitajwe kwenu kamwe, wala uchafu wo wote wa kutamani, kama iwastahilivyo watakatifu.” Kitu cho chote ambacho “kinadokeza” uasherati hakistahili kwa Wakristo. Bibilia haitupi orodha ya vitu vinavyo fusu kama “dokezo” au chakutuambia ni matendo gani ambayo yamethibitishiwa wachumba/wanandoa kufanya kabla ya ndoa. Ingawa kwa sababu hiyo kuwa Bibilia kwa bayana hailizungumzii hilo swala, haimanishi kuwa Mungu analikubalia tendo la “ngono kabla” ya ndoa. Kwa nafsi, tumeumbwa tunafanya mazoezi kwa kujitayarisha kufanya ngono. Kwa njia nyingine mazoezi lazima yazuiliwe kwa wachumba. Kitu cho chote kinachochukuliwa kama mazoezi kabla ya ndoa lazima kiepukwe hadi ndoa.
Kama kunayo shauku yoyote hata kama tendo lolote liko sawa kwa wachumba ambao hawjaoana, lazima liepukwe (Warumi 14:23). Matendo ya ngono kabla ya ndoa lazime yakaziwe wachumba. Wachumba ambao hawajaoana lazima waepuke matendo ambayo yanawajaribu kufanya uasherati, ambayo yanapelekea kuleta dhana ya usherati, au yatakayo pelekewa kuwa mazoezi kabla ya ndoa. Wachungaji wengi na washauri wa Kikristo kwa dhati wanawashauri wachumba kwamba wasiende kiwango cha kushikana mikono, kukumbatiana, na kupatiana busu kabla ya ndoa. Wanandoa wanapoendelea kushirikiana kwa uwazi wao wenye, zaidi hiyo ndoa yao itakuwa ya ajabu kingono.
English
Ni kiwango kipi kinachofaa cha kukumbatiana kabla ya ndoa?