Swali
Biblia inasema nini juu ya utoaji wa kiungo?
Jibu
Biblia haijafafanua kuhusu kutoa kiungo.Pengine kutoa kiungo haikufahamika katika enzi za Biblia. Ingawaje kuna vipengele vinavyodokeza mambo yanayoweza kuweka msingi kwa suala hili. Kilacho chojes mtu kutoa kiungo ni kudhamani na kufahamu manufaa ya kiungo kwa mwingine. Jukumu la "kumthamini mwenzako"ilifafanuliwa na Yesu (Mathayo 5: 43-48), Paulo (Warumi 13: 9), na Yakobo (Yakobo 2: 8), bali inafafanuliwa Zaidi kutoka enzi za Mambo ya Walawi 19:18. Kufuatia enzi hizo,Agano la Kale, wana wa Mungu waliam kuombiwa kudhihirisha thamani kwa Mungu hata tuishio nao vilevile.Kuchanga kiungo kutoka nafsi zetu huonyesha upendo mkubwa na kujinyima kwa ajili ya wenzetu.
Kunao mfano bora Zaidi vile Yesu Kristo alitoa uhai wake kama dhabiu kwa ajili ya watu, Yohana alitoa maagizo vizuri wakati aliandika, "Wapenzi ikiwa Yesu alitupenda sisi hivi,imetupasa na sisi kupendana." (1 Yohana 4:11).Yesu alipokuwa akitoa habari hii kuhusu upendo thabiti,alinukuu kukumbuka walio na njaa,na kiu,wageni,walio uchi,na walioko kifungoni. (Mathayo 25: 35-46).Hakukomea hapo "Amini nawaambia,kadiri mlivyomtendea mmojawapo a hao ndugu zangu walio wadogo,mlinitendea mimi." (Mathayo 25:40). Yesu pia alifunza kuhusuMsamaria Mwema (Luka 10: 25-37) kuwa,Tulivyo waumini,tunafaa kuwa na utu tukidhihirisha mapenzi kwa wanadamu wote.Kama fundisho haliendi kinyume na bibilia;tutaikumbatia na kuikubalia kutumiwa na Waumini.
Wanadamu hutazama swala la kutoa kiungo kama kuidhulumu nafsi ya mtu. Vipengele ppamoja na 1 Wakorintho 6: 19-20huonyesha kuwa kuchangisha sehemu ya mwili haifai.Watunzi wa vivyomo dumiani,tunafaa kulinda nafsi zetu ifaavyo dhidi ya dhuluma. Paulo kwa Waumini kule Korintho, alinukuu: "maana mlinunuliwa kwa thamani sasa basi mtukuzeni Mungu katika miili yenu" (1 Wakorintho 6:20), akidhihirisha kuwa ni jambo litakalotendwa muda wa kuishi mtu. Kwa waraka wa pili kwa Korintho, aliwaambia: "Kwa maana twajua kuwa nyumba ya maskani yetu iliyo ya dunia hii ikiharibiwa tunalo jingo litokalo kwa Mungu,nyumba isiyofanywa kwa mikono iliyo ya milele mbinguni" ( 2 Wakorintho 5: 1).Baadhi ya dhana ya Waumini ni kuwa sehemu zote za mwili zinafaa kuwekwa vizuri kwa ajili ya kufufuliwa.Waumini kadhaa wanasita kuchanga kiungo kwamba mwili wote utatakiwa wakati wa kufufuliwa.Walipofanya dhambi kwa shamba la Edeni, Mungu aliamuru Adamu, "Kwa jasho la uso wako utakula chakula hata utakaporudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa na kwa maana u mavumbi wewe,nawe mavumbini utarudi"(Mwanzo 3:19). Mungu alinene kwamba miili hii ya mavumbi itarudi mchangani siku moja.
Paulo, katika barua yake kwa Wakorintho, alitoa maelezo kuhusu mwili wa kidunia unapopotesa uhai, (ambao unatupwa katika namna kadhaa), na ule wa mbinguni utakaofufuliwa (1 Wakorintho 15: 35-49). Kwa matumizi ya faka alituonyesha matengano kwa mwili wa udongo na ule wa mbinguni. Hakukomea hapo alifululiza: "Hupandwa mwili wa asili, hufufuliwa mwili wa roho. Ikiwa uko mwili wa asili,na war oho pia uko" (1 Wakorintho 15:44).Kama tutashika kuwa mwili wa mbinguni siku za mwisho unasimamia basi ile ya kiulimwengu,tumeshikilia fikira ovu kando na ya kibibili. Tunajuzwa kuwa "nyama na damu" haziwezi kuurithi ufalme wa mbinguni (1 Wakorintho 15:50).Kuzingatia haya,Waumini wanafaa kukataa ama kuwaza kutoa kiungo ili kuhifadhi nafsi kwa kufufuliwa mwishowe.
English