settings icon
share icon
Swali

Muumini anafaa kujiwekea pesa kwa soko la hisa?

Jibu


Muumini ataamuaje kwa busara juu ya yupi anayepaswa kusaidiwa, kwa maana kuna mashirika mengi yanayohitaji usaidizi? Yapi yatakayofanya mashirika, kujitolea, misheni nk, kuwa msitari wa mbele katika kusaidiwa? Hela zitawekezwaje ili kuleta maana siku za usoni? Halaiki hujisumbua sana na maneno haya. Kunazo sheria zitakazosaidia kungamua kufanya uamuzi kwa mjia nyepesi.

Nitamchangia nani? — nakala za mafundisho
"Lakini wewe nena mambo yapasayo mafundisho yenye uzima" (Tito 2:1).

Je, Maana / misheni / mashirika / matendo ya kujitolea hueneza taaria njema ya Yesu Kristo na kutimiza malengo ya Injili ya Mungu? Ni mambo yote yaanywayo katika kuhudumu mwishowe yana majukumu ya kufakinisha kazi kuu, yenyewe ikiwa, kueneza injili kwa wote na kuwaanya wakristo kumfuata Yesu Kristo basi wasiwasi(Mathayo 28: 19-20; Matendo 1: 8)? Hata kama lengo la msingi la kuwa sababu ni kuwa mikono na miguu ya Yesu na kuwahudumia mahitaji ya kimwili ya watu, je, injili bado inaendelea katika kila kitu kinachofanya?

Nimchangie nani? — ukamilivu na ufahamu
"Nyingine zikaanguka penye udongo mzuri, zikazaa, moja mia, moja sitini, moja thelathini" (Mathayo 13:8).

Malengo yake yana hatari yoyote? Je, matendo ya kujitolea yanakamilisha sababu zake,lengo na matakwa yake? Mashirika yanadhihirisha umaalufu kwa kusuluhisha taabu zake? Kwa umati mkubwa, kuwafikia mara moja huonekana kujitenga dhidi ya wenzao kweli ni kuleta mabadiliko kwa uhai wa wanadamu?

Nimchangie nani? — uwakili
"Hapo tena inayohitajiwa katika mawakili ndiyo mtu aonekane kuwa mwaminifu" (1Wakorintho 4:2).

Je,hela hutumika kwa busara katika huduma? Maana yake huhufadhi utajiri kwa vitu vilivyo na umuhimu? Idhihirikavyo kwa mafundisho ya talanta, shirika linazika mapato yake mchangani amakuitia kazini katika utukufu wa Mungu? Mashirika ya upendo huwekeza katika mambo ya maana sawia na mipango ya Mungu?

Nimchangie nani? — Kuwajibika
"Pasipo mashauri makusudi hubatilika, bali kwa wingi wa mashauri huthibithika" (Mithali 15:22).

Mashirika hayo yanaweka wazi na kuwa waaminifu katika hela na kuyafanyia uamuzi kamili? Kunaye atoaye ushawishi mingi,ama wale wanaohusika hupanga mambo kwa pamoja kwa kufanya uamuzi? Uelekezaji uko wazi katika, "chuma hunoa chuma" (Mithali 27:17)? Je, mapendo ya utoaji uko hiari kuweka wazi maneno yake yote kuhusu hela? Malengo yake yamewekwa wazi kwa kejeli ama imethibiwa tu kwa maoni tu (Methali 27: 6)?

Nimchangie nani? — maombi
"Ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtaona; bisheni nanyi mtafunguliwa" (Mathayo 7:7).

Lakini mtu akipungukiwa na hekima na aombe dua kwa Mungu awapaye kwa wote (Yakobo 1: 5). Uliza Mungu akupe ujuzi kwa vitu atakavyo uchngie. Uliza Mungu akufafanulie namna atakavyo uwekeze vema kwa mujibu wa maisha ya baadaye.

Nimchangie nani? — Tumaini Mungu na kutoa
"Lakini nasema neno hili, apandaye haba atavuna haba, apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu. Kil mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni,wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu" (2 Wakorintho 9: 6-7).

Sheria zilizotajwa hapo awali zinaweza toa msaada, Biblia haijanukuu na kukataa mahali popote hapa. Tunapofahamu kuwa mkristo anafaa kutoa pale anaposhiriki huduma, hajapata kukaziwa kwa jambo hili. Muumini atapendelea kumsaidia mtoto kukimu mahitaji ama kutoa dhidi ya kudhibiti biashara haramu ya watu? Muumini atachanga ili kujengea watu makazi katika uokoaji ama kusaidia katika kueneza injili duniani kote? Maswali haya hayana maana bayani. Ni jambo la kutafakari, kuthamini la maana na pia ari ya kutoa.

Mwombe Mungu ufunuzi kuhusu ni mambo gani anaonelea utoe mchango wako. Fanya uchunguzi kati ya mambo yaliyotajwa hapo mwanzo.Ndio uchange!

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Muumini anafaa kujiwekea pesa kwa soko la hisa?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries