Swali
Wakristo wanaruhusiwa kwende sherehe? Biblia inasemaje juu ya kusherehekea?
Jibu
Marudisho halisi kuhusu haya ni "inategemea sherehe." Sherehe ni kawaida maanake inatoa nafasi kutangamana na tuwaenzio,marafiki wageni,kujiachilia na kujibamba na jumuia ya wanadamu tofauti.Tuna tabia ya kujumuika kama watu tulivyoumbwa.Tunatangamana katika makundi, kutenda kazi kwa makundi,sherehe vivyo hivyo.Tunapotamani kusherehekea tunahitimiza lengo la kuwa katika jumuia na kusherehekea. Haya ni ya kawaida na halisi.
Katika Waumini,azimio ya jumuhia za watu inashirikiana na kutamani mahusiano. Tafsiri ya Kigiriki "jumuia" katika Agano Jipya ni koinonia,kumaanisha "kujumuika, kushiriki, kusherehekea na jamii, na maongezi." Lililo la maana kwa Waumini ni "kutangamana." Biblia inatujuza kuwa tumeteuliwa kuwa na utangamano na Kristo (1 Wakorintho 1: 9), na Baba (1 Yohana 1: 3), na katika Roho Mtakatifu (Wafilipi 2: 1). Yohana anatukumbusha kuwa wakristo tumechaguliwa kwa maana ya yaliyotokea msalabani na umwagaji wa damu yake (1 Yohana 1: 7). Paulo anaendelea kuwa kumjua yeye ni kushiriki katika mateso yake (Wafilipi 3:10). Pia tunafaa kujiepusha na ushirika na dhambi (1 Wakorintho 10:20). Jinsi ilivyo kuwa hakuna ushirika kati ya kiza na mwanga ndivyo Muumini hafai kusherehekea kwa maovu.
Shida katika swali kuwa,"Iwapo Waumini wanafaa kuenda sherehe?" Ni kuwa "sherehe" zinazosemwa kwa wingi ni zile zinazohusika na madhara fulani.Hamna maana au hakuna haja ya kutaka kufahamu kuwa waumini huenda sherehe za aina gani. Hamna, mara nyingi sherehe hizi hujumuisha kulewa,unywaji mwingi,matumizi ya madawa/na usherati. Wasio waumini hufanya sherehe zao bila wasiwasi,ila zile zinazohusiana na kuharibu tabia zinafaa kukomwa.Wakristo wanafaa kujilinda kutoka kwa madhara,kufahamu kuwa"mazungumzo mabaya huharibu tabia njema" (1 Wakorintho 15:33).Aidha,kushiriki katika Sanaa zinapofanyika madhambi,hata igawa hatutendi,hudhuru Imani yetu na kuchangia kulikosea heshima jina la Yesu (Warumi 2:24). "Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu." (2 Timotheo 2:19).
Wengine huwa na dhana kuwa katika ushirika watapata nafasi kumsifu Kristo pamoja na waasi wasio waumini,na tunapohijaka kuwa na Imani ya tumaini kila kuchao, (1 Petro 3:15), linalochochea waasi katika ushirika ni kiu ya Neno.Fursa haitapatikana mahali watu wanalewa,kutumia mihadarati na hali ya kukutana kimwili zinafanyika.Waumini wanafaa kutumia kila naasi kutangamana na wakristo wenzake,kujua kuwa tumejiajiria katika kujaribiwa ama kinachotujaribu kutenga uhai wetu na msimamo wetu katika dunia inayotutazama .
English