settings icon
share icon
Swali

Ufalme wa miaka elfu moja, na wastahili kueleweka juju?

Jibu


Ufalme wa miaka elfu moja ni jina limepewa miaka 1000 ya utawala wa Yesu Kristo ulimwenguni. Wengine wantafuta kufafanua miaka 1000 kwa njia ya hadhithi. Wengine wanelewa miaka 1000 kama njia ya kusema kimafumbo “muda mrefu wa wakati” Hangefanya hivyo bila kurudia kutaja kadir muda kamili.

Bibilia inatwambia kwamba wakati Kristo atarudi ulimwenguni atajivisha kama mfalme yeye mwenyewe katika Yerusalemu, akikaa katika kiti cha Daudi (Luka 1:32-33). Agano lisilo na matimizo linaitaji hali wazi, ya kuridi kwa Yesu iliwe aweke ufalme. Agano la Ibrahimu liliaidi Israeli nchi, unawili na kiongozi/mfalme, na baraka za kiroho (Mwanzo 12:1-3). Agano la Kipalesitina liliaidi Israeli urejesho kwa nchi na kazi itakayofanyika (Kumbu La Torati 30:1-10). Agano la Daudi liliaidi Israeli msamaha- njia ambayo taifa litabarikiwa (Yeremia 31:31-34).

Kwa kurudi mara ya pili, hizi agano zitatimizwa Israeli inapojikusanya kutoka kwa mataifa (Mathayo 24:31), wakibadilishwa (Zekaria 12:10-14) na kurejeshwa kwa nchi iliyo chini ya uongozi wa Masia, Yesu Kristo. Bibilia inasema juu ya hali wakati wa ufalme wa miaka elfu moja kuwa kama nchi dhabithi hata kiroho. Utakua wakati wa amani (Mika 4:2-4; Isaya 32:17-18), furaha (Isaya 61:7, 10), faraja (Isaya 40: 1-2), na hakuna umasikini wala magonjwa (Amosi 9:13-15; Yoeli 2:28-29). Bibilia pai inasema ni watakatifu pekee wataingia katika ufalme wa miaka 1000. Kwa sababu ya hii utakuwa wakati wa utakatifu uliokamilika (Mathayo 25:37; Zaburi 24:3-4), unyenyekevu (Yeremia 31:33), utakatifu (Isaya 35:8), ukweli (Isaya 65:16), na ukamilifu wa Roho Mtakatifu (Yoeli 2:28-29). Matajiri na Watu wa vyeo pia watatawala (Isaya 32:1; Mathayo 19:28), na Yerusalemu itakuwa mahali pa siasa ya ulimwengu (Zekaria 8:3).

Ufunuo Wa Yohana 20:2-7 unatupa muda kadiri wa ufalme wa miaka elfu moja. Hata bila ya haya maandiko, kunayo mengine yasiyo hesabika yanayolenga Masia akitawala ulimwenguni. Utimisho wa maagano ya Mungu mengi na ahaadi ziko na maana ya juu juu, ufalma wa sasa, na ule ujao. Hakuna ushaidi wa kutosha kukataa fafanusi ya juu juu ya ufalme wa miaka elfu moja.

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Ufalme wa miaka elfu moja, na wastahili kueleweka juju?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries